Shambulio la kuvizia iliyofanyika mkoa wa Jubba na Magari ya Wanajeshi wa Kenya yateketezwa.

Monday April 20, 2015 - 23:31:46 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3485
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 50
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Shambulio la kuvizia iliyofanyika mkoa wa Jubba na Magari ya Wanajeshi wa Kenya yateketezwa.

    Habari kutoka mikoa ya Jubba zinaeleza kuwa jioni ya leo kumefanyika shambulio la kuvizia katikati mwa maeneo ya Tabto na mji wa Dobley ambapo Msafara wa Magari ya kijeshi wa Kenya yalikuwa yakitumia njia hiyo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mikoa ya Jubba zinaeleza kuwa jioni ya leo kumefanyika shambulio la kuvizia katikati mwa maeneo ya Tabto na mji wa Dobley ambapo Msafara wa Magari ya kijeshi wa Kenya yalikuwa yakitumia njia hiyo.Msafara huo wa Wanajeshi wavamizi wa Msalaba kutoka Kenya ghafla ulizingirwa na risasi za Mujahidina huko shambulio hilo Mujahidina wakitumia Silaha nzito za RPG.Maofisa wa Mujahidina walioko Mkoa wa Jubba wametueleza kuwa mapambano hayo Mujahidina walifanikiwa kuziteketeza Gari aina ya Mitsubishi iliyokuwa imebeba Shehena kwa Wanajeshi wa Kenya,habari zaidi zinaeleza kuwa wanajeshi walioshambuliwa wamekutana na hasara kubwa.


Wanajeshi wa Kenya waliokuwa kwenye safari ya kuelekea mji wa Dobley ulikatisha safari yake huko wakichukua Maaskari waliopata hasara na Gari iliyochomwa na Mujahidina.

Related Items