Taliban Afghanistaan yatangaza A'amiliyah zitakazowalenga Wanajeshi wa Marekani.

Thursday April 23, 2015 - 22:37:06 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4009
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 51
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Taliban Afghanistaan yatangaza A'amiliyah zitakazowalenga Wanajeshi wa Marekani.

    Taarifa rasmi kutoka Mujahidina wa Taliban nchini Afghanistaan imezungumzia A'amiliyah iliyotangazwa na Mujahidina ambayo imepewa jina la opresheni ya A'amiliyah ya Uamuzi yatakayowalenga Wanajeshi wa kigeni walioko katika mikoa mbalimbali

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Taarifa rasmi kutoka Mujahidina wa Taliban nchini Afghanistaan imezungumzia A'amiliyah iliyotangazwa na Mujahidina ambayo imepewa jina la opresheni ya A'amiliyah ya Uamuzi yatakayowalenga Wanajeshi wa kigeni walioko katika mikoa mbalimbali nchini humo.


Katika taarifa yao Mujahidina wamesema,"Opresheni hii zitalenga maeneo ya vituo vya kijeshi majengo ya Mabalozi na mahali popote waliko raia wa Mataifa ya Magharibi tutawalenga na hatutowaacha kama wanataka usalama basi waondoke haraka katika Ardhi ya Afghanistaan", ilisema sehemu ya taarifa ya Mujahidina.Opresheni hii itaanza na kuendelea katika msimu wote wa michepuko,wakati kama huu Mujahidina kila mwaka hutangaza opresheni zao kabambe iliyo dhidi ya Maadui waliovamia katika Ardhi ya Afghanistaan na kupata wakati mgumu.

Related Items