Mwanaume aliyepatikana na hatia ya Kumtukuna Mtume auawa katika mji wa Jamame mkoani Lower Jubba.

Saturday April 25, 2015 - 08:28:52 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3767
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 50
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mwanaume aliyepatikana na hatia ya Kumtukuna Mtume auawa katika mji wa Jamame mkoani Lower Jubba.

    Katika uwanja mkubwa wa wazi ulioko katika mji wa Jamame mkoani Lower Jubba kusini mwa Ardhi ya Somalia ameuawa mwanaume aliyemtukana Mtume Mohamed صلي الله عليه وسلم Mtukufu wa Daraja.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Katika uwanja mkubwa wa wazi ulioko katika mji wa Jamame mkoani Lower Jubba kusini mwa Ardhi ya Somalia ameuawa mwanaume aliyemtukana Mtume Mohamed صلي الله عليه وسلم Mtukufu wa Daraja.

Mamia ya wananchi wa Kiislaam walijitokeza katika Uwanja huo unaojulikana wa Berta Sharecada "Bustani la Shari'ah" kwa lengo la kuja kushuhudia Mahakama ya Kiislaam wa Mkoa wa Lower Jubba ukitekeleza Hukumu ya Ridda kwa Mahamuud Mursal Mussa mwanaume aliyepatikana na kosa la kumtukana Kiongozi wa Ummah Mohamed  صلي الله عليه وسلم.Si mara ya kwanza kwa Wilaya hiyo ya Lower Jubba kutekeleza Hukumu ya kiislaam.

Related Items