Wanajeshi wa AMISOM waondoka kutoka katika mji wa Janaale mkoani Lower Shabelle.

Sunday April 26, 2015 - 10:00:46 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4274
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 46
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Wanajeshi wa AMISOM waondoka kutoka katika mji wa Janaale mkoani Lower Shabelle.

    Habari kutoka Wilaya ya Janaale iliyo katika mkoa wa Lower Shabelle zinaarifu kuwa Wanajeshi wa kigeni wameondoka katika Mji huo wa Janaale ambapo walikaa kwa muda eneo hilo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka Wilaya ya Janaale iliyo katika mkoa wa Lower Shabelle zinaarifu kuwa Wanajeshi wa kigeni wameondoka katika Mji huo wa Janaale ambapo walikaa kwa muda eneo hilo.


Maaskari hao inasemekana wamelekea upande wa mji wa Afgooye ingawa haikufahamika changamoto iliyopelekea kuondoka kwao kutoka katika mji wa Janaale.Wakaazi wa eneo la Janaale wamesema katika siku za hivi karibuni Wanajeshi hao wa Kigeni walikuwa wakifanya maandalizi ya kujikusanya na kuonekana dalili ya kutaka kugura na leo wamewaona wakiondoka.


Wanajeshi hao wa Kigeni walikwishaondoka kutoka vijiji vya Barire na Aw-degle ambao uko katikati mwa miji ya Afgooye na Janaale,Mkuu wa Jimbo la Lower Shabelle Abduqadir Sidii anaewakilisha Serikali ya Mugadishu alizungumzia walipoondoka wanajeshi wa Kigeni kutoka Barire na Aw-Degle na kusema kuwa Serikali ya FG hawakujulishwa kuondoka kwa Wanajeshi hao.


Vyanzo vigine tulioweza kupata kutoka kwa wakaazi zinaeleza kuwa Wanajeshi wa AMISOM walioko katika vijiji vya Baladul Amiin na Daru Salaam ambapo yote iko kwatika Mkoa wa Lower Shabelle.


Mamia ya vikosi vya Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wanazungukia maeneo walioachia Wanajeshi wa AMISOM ingawa hakuna mapambano yalioripotiwa kutoka kwa Wanamgambo wa Serikali ya FG na muda wowote inaezekana kufanyika mabadiliko upande wa kiutawala katika mkoa wa Lower Shabelle.


Wanajeshi wa kigeni wamekutana na uvujaji mkubwa wa Damu kutoka kwa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen,na kila wiki wanajeshi hao wavamizi hupoteza Magari kadhaa ya Kijeshi pamoja na Maaskari wao kuawa.

Chanzo:Radio Al Furqaan

Related Items