Maofisa wengine wa Serikali ya Kenya watekwa katika mji wa Mandera na Serikali ya nchi hiyo wailaumu Al-Shabab.

Sunday April 26, 2015 - 10:03:23 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4640
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 46
  • 1 1
  • Share via Social Media

    Maofisa wengine wa Serikali ya Kenya watekwa katika mji wa Mandera na Serikali ya nchi hiyo wailaumu Al-Shabab.

    Wakati ambapo hali ya usalama nchini Kenya ukiendele kuwa tete mashambulio na utekeji dhidi ya wananchi wa nchi hiyo unazidi kushika kasi katika maeneo yalio katika mipaka ya uzushi.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wakati ambapo hali ya usalama nchini Kenya ukiendele kuwa tete mashambulio na utekeji dhidi ya wananchi wa nchi hiyo unazidi kushika kasi katika maeneo yalio katika mipaka ya uzushi.

Habari kutoka katika mji wa Mandera zinaeleza kuwa watu waliokuwa na silaha wamewateka Waalimu wawili kutoka ndani ya mji huo ambao walikuwa wakifundish Shule zilizoko mji wa Mandera.Mkuu wa Wilaya ya Mandera Alex nkoyo amethibitisha mbele ya vyombo vya habari kutokea kwa utekeji huo dhidi ya waalimu huko akitaja kitendo hicho kuwa ni ya kuwatisha kwa viongozi wa utawala wa Mandera.

Vyombo vya habari nchini Kenya vimearifu kuwa watekaji hao waliondoka na mateka wao hadi upande wa mkoa wa Gedo nchini Somalia.

Wiki mmoja iliyopita watu wenye silaha katika kijiji cha Al Arabaia walimchukua mateka kiongozi wa Serikali ya Kenya na baadae kumkata kichwa.

Related Items