Utawala wa Kenya yalaumiwa kuwalenga na kuwanyanyasa Waislaam.

Friday May 01, 2015 - 22:35:24 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3302
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 45
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Utawala wa Kenya yalaumiwa kuwalenga na kuwanyanyasa Waislaam.

    Baadhi ya viongozi katika Utawala wa Kenya kutoka upande wa Pwani ambao wakaazi wake ni Waislaam wamewalaumu Maofisa wa Usalama kwa kuwadhulumu Waislaam.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Baadhi ya viongozi katika Utawala wa Kenya kutoka upande wa Pwani ambao wakaazi wake ni Waislaam wamewalaumu Maofisa wa Usalama kwa kuwadhulumu Waislaam.


Hassan Umar ambae ni Mbunge wa Kenya amewaambia vyombo vya habari kuwa Serikali inatumia Propaganda rahisi ya kuidhulumu Mali ya Wananchi wake huko ikisingizia kuimarisha usalama."Katika siku za hivi karibuni Serikali ilikuwa ikifanya mambo ya ajabu sana mtu akitakikana kufungwa basi inahitajika awe na vazi linalojulikana kuvaliwa na Waislaam",alisema Hassan Umar.


Mbunge mwingine aliyechaguliwa kutoka katika Kaunti ya Mombasa nae amewalaumu kitengo cha kupambana na Uislaam kwa kuwajaza katika Magereza mamia ya waislaam huko hakuna hata kuwapeleka kwenye Mahakama.


Habari zaidi zinaeleza kuwa Maofisa wa Polisi huchukua Pesa za kuwakomboa waislaam waliowakamatwa na kisha baadae kuwaachia huru.


Serikali ya Kenya inakumbana na hali ngumu ya Kiusalama tangu mashambulio kutoka kwa Harakata Al-Shabab Al Mujahideen kuongezeka ndani ya Ardhi ya Kenya.


Related Items