Uongozi wa Gazeti la Charlie Hedbo "Hatutorudia tena kumchoro kibonzo Mtume Mohamed S.A.W".

Friday May 01, 2015 - 22:36:58 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4501
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 51
  • 2 1
  • Share via Social Media

    Uongozi wa Gazeti la Charlie Hedbo "Hatutorudia tena kumchoro kibonzo Mtume Mohamed S.A.W".

    Baada ya kufanyika shambulio ile la mji wa Paris nchini Ufaransa ambao ulitekelezwa na Mujahidina wa Al Qaida mamia ya Wakristo wameamua kukubali na kuingia katika Dini ya Kiislaam.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

LUZ, moja wa viongozi wa Gazeti la Charlie Hedbo la nchini Ufaransa
Baada ya kufanyika shambulio ile la mji wa Paris nchini Ufaransa ambao ulitekelezwa na Mujahidina wa Al Qaida mamia ya Wakristo wameamua kukubali na kuingia katika Dini ya Kiislaam.


Katika Shambulio la kumlipizia Mtume Mohamed  صلى الله عليه وسلم  imekuwa sababu ya watu wengi kuingia katika Dini Kiislaam huko waliokuwa wakiwazia kuichafua nao kurudi nyuma kutokana na khofu.


Gazeti Charlie Hedbo ambao imekuwa maarufu kwa kumtukana Mtume Mohamed Mtukufu wa Daraja صلى الله عليه وسلم imetangaza rasmi kutorudia vitendo vya kumkashfu Mtume.

Shirika la habari la Ufaransa limetangaza taarifa iliyomnukuu kutoka kwa uongozi kwa Gazeti la Charlie Hedbo mwanaume aliyetajwa kwa jina mmoja la Luz ambayo ameahidi kutorudia tena kumchoro kibonzo Mtume.
Embedded image permalink

"Kwanzia leo hatutorudia tena kumchoro Mtume Mohamed kwasababu nimekuwa mtu aliyekata tamaa",alisema Luz.


Amesema wamefanya kosa kubwa sana na Gazeti lao lina ahidi kutorudia tena siku nyingine kuichapisha Picha au Maandishi yalio dhidi ya Uislaam.


Shirika la habari la AFP limesema hatua hii mpya iliyochukuliwa na Uongozi mkuu wa Gazeti la Charlie Hedbo inaonyesha mabadiliko makubwa upande wa siasa ya Gazeti hilo tangu kuanzishwa kwake ambao ilikuwa maarufu kwa kufanya Kejeli na istizai kwa Waislaam.


Makundi ya Kijihadi yanayopambana Kote Duniani vilitoa vitisho mbalimbali kwa wananchi wa Ufaransa tangu kufanyika Shambulio la mji wa Paris miezi minne yaliopita. 

Related Items