Shambulio iliyofanyika kituo cha Wanajeshi wa Kenya iliyo karibu na eneo la Mpakani.

Friday May 01, 2015 - 22:40:43 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4977
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 45
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Shambulio iliyofanyika kituo cha Wanajeshi wa Kenya iliyo karibu na eneo la Mpakani.

    Habari kutoka katika Mikoa ya Jubba zinaeleza kuwa kumefanyika makabiliano makali katika kijiji kilicho karibu na mji wa Dobley iliyo katika mpaka wa kizushi wa Kenya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka katika Mikoa ya Jubba zinaeleza kuwa kumefanyika makabiliano makali katika kijiji kilicho karibu na mji wa Dobley iliyo katika mpaka wa kizushi wa Kenya.Mapigano hayo yalikuja wakati ambapo Mujahidina yalipofanya mashambulio ya pembe tatu kwenye vituo vya Wanajeshi wa Kenya na Wanamgambo wa Ahmed Madobe yalioko katika kijiji cha Tabto.Mwandishi wa habari aliyoko mkoa wa Jubba anaeleza kuwa vikosi vya Mujahidina yaliofanya mashambulio hiyo yalishikilia kwa muda wa masaa kadhaa kwenye vituo hivyo vya wanajeshi wa Kenya.


Taarifa za mwisho zinaeleza kuwa vikosi vya Mujahidina waliondoka eneo hilo la Tabto baada ya kumaliza opresheni yao,siyo mara ya kwanza kushambuliwa vituo vya Wanajeshi Maadui walioko katika Mkoa wa Lower Jubba.

Related Items