Viongozi kadhaa wa Serikali wajeruhiwa baada ya kufanyika shambulio la Bomu Mkoani Morogoro.

Sunday May 03, 2015 - 11:21:59 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 9232
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 52
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Viongozi kadhaa wa Serikali wajeruhiwa baada ya kufanyika shambulio la Bomu Mkoani Morogoro.

    Habari kutoka mkoani Morogoro zinaarifu kuwa shambulio lililotumika Bomu la kurushwa kwa mkono limesababisha hasara ya watu kadhaa akiwemo Dereva wa Mwenyekiti wa Halmashauri na Askari Mgambo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoani Morogoro zinaarifu kuwa shambulio lililotumika Bomu la kurushwa kwa mkono limesababisha hasara ya watu kadhaa akiwemo Dereva wa Mwenyekiti wa Halmashauri na Askari Mgambo.

Shambulio hilo lilitokea juzi ijumaa kwenye sherehe ya Wafayakazi ya Mei Mosi kwenye kijiji cha Msolwa Ujamaa Kata ya Sanje Wilayani Kilombero Mkoani Morogoro.Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro Leonard Paul amethitibitisha kutokea kwa mlipuko huo na kusema kuwa wengi wa watu walioathitiriwa ni Maofisa wa Serikali pamoja na Askari Mgambo na waliofanya shambulio hilo hawakufanikiwa kukamatwa.

Walioshuhudia wanasema walisikia ghafla Kishindo kikubwa cha mlipuko wa Bomu la Kurushwa kwa Mkono na baadae watu wengi walijeruhiwa na kuonekana wamelala chini na Damu nyingi kutapakaa.

Shambulio hili linakuja ndani ya wiki mbili ambapo Maaskari wa kupambana na Uislaam waliwakamata vijana kadhaa kutoka ndani ya Msikiti na mmoja wa vijana hao aliuawa na Maaskari katika Tarafa ya Kidadu Wilayani Kilombero.

Related Items