Milipuko yaliosababisha vifo na Majeruhi yalengwa Wanajeshi wa AMISOM katika mji wa Marka.

Sunday May 03, 2015 - 23:52:19 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4251
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 50
  • 0 1
  • Share via Social Media

    Milipuko yaliosababisha vifo na Majeruhi yalengwa Wanajeshi wa AMISOM katika mji wa Marka.

    Habari kutoka mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa milipuko yaliosababisha hasara kubwa yamelengwa dhidi ya Wanajeshi wa kigeni AMISOM yaliopo nchini Somalia kwa Uvamizi wa Misalaba.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa milipuko yaliosababisha hasara kubwa yamelengwa dhidi ya Wanajeshi wa kigeni AMISOM yaliopo nchini Somalia kwa Uvamizi wa Misalaba.

Bomu la kutegwa katikati mwa mji wa Marka limelipukia Gari mmoja iliyobeba mtungi wa Maji la Jeshi la AMISOM ambapo Wanajeshi kutoka Burundi walikuwa wakiendesha.Walioshuhudia wanasema Gari hilo liliharibiwa na kuteketea vibaya kutokana na ukubwa wa mlipuko wa Bomu hilo,Habari zaidi zinaeleza kuwa baada ya dakika chache Bomu nyingine la kurushwa kwa mkono walirushiwa Wanajeshi waliokuwa wakitembea kwa miguu na Wanajeshi 2 wamepoteza maisha kutokana na shambulio hilo.

Duru za kuaminika zinaeleza kuwa Magari ya kubeba wagonjwa linalomilikiwa na AMISOM walikuwa wakichukua majeruhi na wale walioangamia kwenye shambulio hilo.

Related Items