Shambulio iliyowaua Maaskari wengi wa Kenya yafanyika nje ya kijiji cha Libooye.

Thursday May 07, 2015 - 22:29:25 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 4850
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 45
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Shambulio iliyowaua Maaskari wengi wa Kenya yafanyika nje ya kijiji cha Libooye.

    Habari kutoka ndani ya Ardhi ya Kenya zinaeleza kuwa shambulio iliyosababisha hasara kubwa yamelegwa Wanajeshi wa Kenya wakati wakiwa kwenye safari ya kuelekea nchini Somalia kwa uvamizi.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka ndani ya Ardhi ya Kenya zinaeleza kuwa shambulio iliyosababisha hasara kubwa yamelegwa Wanajeshi wa Kenya wakati wakiwa kwenye safari ya kuelekea nchini Somalia kwa uvamizi.

Jana nyakati za jioni kikosi kazi cha Mujahidina wa Al-Shabab walifanya shambulio la kuvizia dhidi ya Msafara wa Magari ya wanajeshi wa Kenya waliokuwa katika eneo iliyo karibu na Mipaka ya kizushi kati ya nchi hizo mbili.

Duru zinaeleza kuwa Wanajeshi wa Kenya waliotoka katika kituo cha kijeshi iliyoko pembezoni mwa kijiji cha Libooye upande wa Ardhi ya Kenya walikutana na shambulio kubwa na kusababisha hasara.Afisa wa Mujahidina wa Al-Shabab ambae alizungumza na vyombo vya habari amesema katika shambulio hilo wameteketeza Magari mawili ya wanajeshi wa Kenya na kuwaua Maaskari wengi wa Maadui.

Habari zaidi zinaeleza kuwa Wanajeshi wengine wa Kenya waliondoka kutoka upande wa mji wa Dobley ili kuwapa msaada wenzao walioangamizwa.

Related Items