PICHA:John Kerry ainajisi Msikiti katika mji wa Djibuti na Mashekhe waovu waliosikiliza Hotuba yake.

Thursday May 07, 2015 - 22:33:00 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 7163
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 50
  • 1 0
  • Share via Social Media

    PICHA:John Kerry ainajisi Msikiti katika mji wa Djibuti na Mashekhe waovu waliosikiliza Hotuba yake.

    Waziri wa masuala ya kmataifa nchini Marekani John Kerry katika ziara yake aliyofanya kwenye mji wa Djibuti amepindukia mipaka dhidi ya Muqadasati za Kiislaam.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Waziri wa masuala ya kmataifa nchini Marekani John Kerry katika ziara yake aliyofanya kwenye mji wa Djibuti amepindukia mipaka dhidi ya Muqadasati za Kiislaam.


Kerry aliingia ndani ya Msikiti wa Al Iman na kulakiwa na Waziri wa Mambo ya nje ya Utawala Kibaraka wa Djibuti,Mkuu wa Upelelezi na Waziri wa anaehusika na Masuala ya Dini.


Alipokuwa akizumza na Wandishi wa habari amewashambulia vikali Mujahidina wanaopigana katika Pembe ya Afrika huko akiwataja kuwa ni Magaidi,walio na misimamo mikali na walioufahamu vibaya Dini ya Kiislaam.Embedded image permalink
Embedded image permalink

Kerry alionekana kwenye vyombo vya habari akiwa ameshikilia kipaza sauti kana kwamba ni Shekhe anaetoa Mawaidha kwa waafunzi wake waliomzunguka.


Mambo ya kustajaabisha John Kerry alikuwa amezungukwa na Mashekhe waovu wanaoiunga mkono Utawala wa Ismail Umar Gelle ambapo walikuwa wakipigia makofi wakati akiwashambulia waislaam.


Wanazuoni wa Kiislaam nchini Somalia wameitaja hatua hii ya Kerry kuwa ni ya kuidhalilisha Waislaam wa nchi ya Djibuti na pia kuilaumu Utawala wa Umar Gelle kuwa ni utawala uliowakabidhi Ardhi ya Djibuti kwa mataifa ya Magharibi kama vile Ufaransa na Marekani huko wakifanya kuwa ni sehemu ya Kambi kubwa ya kijeshi katika Pembe ya Afrika ya Africom.


Watu wengi waliokuwa wakiskiliza matamshi kutoka kwa Mashekhe hao waovu wamethibitikiwa wazi kuwa watu kama hao si Mashekhe bali ni watu kama wa John Kerry.


Si mara ya kwanza kwa Kiongozi kutoka Marekani kuingia Msikiti unaomilikiwa na Wasomali,mwaka 2009 Balozi wa Marekani nchini Kenya aliingia Msikiti wa Abuu Bakar Sidiq na wakati huo alikuwa amezungukwa na baadhi ya viongozi wa Kundi la I'tisaam ambao Marekani na Washirika wake huwatumia katika vita vyao dhidi ya Mujahdina wa Al-Shabab.


Liban Jehow Abdi

SomaliMemo,Mugadishu


Related Items