Mlipuko iliyowaua Maaskari yafanyika Wilaya ya Howl-Wadaag mjini Mugadishu.

Thursday May 07, 2015 - 22:36:31 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3878
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 55
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mlipuko iliyowaua Maaskari yafanyika Wilaya ya Howl-Wadaag mjini Mugadishu.

    Milipuko uliosababisha hasara kubwa umelengwa dhidi ya Wanamgambo wa UGUS katika Wilaya ya Howl-Wadaag mjini Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Milipuko uliosababisha hasara kubwa umelengwa dhidi ya Wanamgambo wa UGUS katika Wilaya ya Howl-Wadaag mjini Mugadishu.


Habari kutoka kwenye Makutano ya Barabara ya Aden Adde mjini Mugadishu inathibitisha kuwa mlipuko mkubwa uliokuwa umetegwa Ardhini ililipuka katika eneo lililokuwa na Kizuizi cha Wanamgambo wa UGUS ambao walikuwa wakiwatoza wananchi pesa kwa nguvu.Walioshuhudia wanasema Maaskari wawili waliuawa na mlipuko huo na wengine watatu wamejeruhiwa vibaya,kishindo kikubwa cha mlipuko huo ulisikika hadi katika soko la Bakara na baadhi ya mitaa ya Wardigley.


Muda mfupi baadae Maaskari Polisi waliotoka katika kituo cha Hawlwadaag walifika eneo la tukio,ilikuwa jana usiku ambapo kituo cha Wanamgambo wa UGUS ulishambuliwa kwenye mtaa wa Sukha Holaha.


Liban Jehow Abdi

SomliMemo,Mugadishu

Related Items