Kachero wa Marekani auawa mjini Mugadishu na Al-Shabab yathibitisha kuhusika.

Thursday May 07, 2015 - 22:38:29 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 5731
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 56
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Kachero wa Marekani auawa mjini Mugadishu na Al-Shabab yathibitisha kuhusika.

    Habari kutoka mjini Mugadishu zinaeleza kuwa watu waliojihami na silaha wamemwua Afisa mwenye cheo cha juu kwenye kitengo cha Upelelezo wa Serikali ya Marekani katika mtaa wa Tawfiq Wilayani Yaqshiid.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mjini Mugadishu zinaeleza kuwa watu waliojihami na silaha wamemwua Afisa mwenye cheo cha juu kwenye kitengo cha Upelelezo wa Serikali ya Marekani katika mtaa wa Tawfiq Wilayani Yaqshiid.

Duru za kuaminika imeliambia SomaliMemo kuwa kikosi Maalum cha Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ndio waliotekeleza shambulio hilo na kumwua Mwanaume anaejulikana kwa jina la Abdulhakim ambae alishiriki katika mtego wa mauaji dhidi ya kiongozi mmoja wa Mujahidina wa Al-shabab iliyofanywa na Ndege za Marekani zisizokuwa na Rubani Drone.Afisa mmoja aliyezungumza kwa niaba ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen amethibitisha kuwa kikosi chao Maalum ndio kilichotekeleza mauaji hayo ya mwanacham wa Makachero wa Marekani.

Habari zaidi zinaeleza kuwa Jasusi Abdulhakim alikuwa ni mtu aliyeongoza kuuawa kwa kiongozi Abdulahi Sahal ambapo Ndege za Marekani Drone ilimwua mwaka uliopita katika mkoa wa Lower Shabelle.

Itakumbukwa kuwa Jasusi huyo Abdulhakim aliyeuawa leo alikuwa Hakimu mkuu katika Utawala wa Kiislaam katika mji wa Dinsoor mkoani Bay lakini Baadae ghafla bila kujulikana alijiunga na Makachero wa Marekani.

Related Items