Watu waliojihami na silaha wauteka Gari kutoka ndani ya Ardhi ya Kenya na utawala wa mji wa Mandera wathibitisha.

Sunday May 10, 2015 - 12:01:41 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 9838
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 40
  • 0 1
  • Share via Social Media

    Watu waliojihami na silaha wauteka Gari kutoka ndani ya Ardhi ya Kenya na utawala wa mji wa Mandera wathibitisha.

    Habari kutoka nchini Kenya zinaarifu kuwa watu waliojihami na silaha wameuteka Gari iliyokuwa imebeba shehena ya kilevi aina ya Miraa au Qaat ambapo ilikuwa imetokea upande wa mji wa Nairobi na kuelekea katika maeneo ya Kaskazini Mashairiki Ardhi ya

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Kenya zinaarifu kuwa watu waliojihami na silaha wameuteka Gari iliyokuwa imebeba shehena ya kilevi aina ya Miraa au Qaat ambapo ilikuwa imetokea upande wa mji wa Nairobi na kuelekea katika maeneo ya Kaskazini Mashairiki Ardhi ya Waislaam inayokaliwa kwa mabavu na Serikali ya Kenya.


Mkuu wa Wilaya ya Mandera Ali Rooble amewaambia vyombo vya habari nchini humo kuwa Gari iliyokuwa imebeba Miraa ilikamatwa na watu waliokuwa na silaha baada ya kuingia Barabarani.Ameilaumu Harakat Al-Shabab Al Mujahideen kuteka Gari ndani ya Ardhi ya Kenya,vyanzo muhimu ilieleza kuwa Gari aina ya Kooyal iliyotekwa kutoka kwa Raia wa Kenya na baadae watekaji waliekea nalo hadi upande wa jimbo la Gedo iliyo katika mpaka wa kizushi wa Kenya.


Katika miaka ya hivi karibuni hali ya usalama nchini Kenya umekuwa tete huko vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen mara kadhaa wakitekeleza mashambulio yaliomwaga Damu nyingi katika baadhi ya mikoa na miji nchini Kenya.


Liban Jehow Abdi

SomaliMemo,Mugadishu

Related Items