Maaskari wawili wauawa katika mji wa Kismayo na silaha zao kuchukuliwa.

Monday May 11, 2015 - 23:53:05 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 8329
  • (Rating 3.1/5 Stars) Total Votes: 76
  • 4 5
  • Share via Social Media

    Maaskari wawili wauawa katika mji wa Kismayo na silaha zao kuchukuliwa.

    Habari kutoka mji wa Kismaayo makao makuu ya Jimbo la Lower Jubba zinaarifu kuwa kumefanyika shambulio iliyosababisha hasara dhidi ya Wanamgambo wa Mhalifu Ahmed Madobe ambao hufanya kazi chini ya Wanajeshi wavamizi kutoka Kenya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mji wa Kismaayo makao makuu ya Jimbo la Lower Jubba zinaarifu kuwa kumefanyika shambulio iliyosababisha hasara dhidi ya Wanamgambo wa Mhalifu Ahmed Madobe ambao hufanya kazi chini ya Wanajeshi wavamizi kutoka Kenya.

Jana nyakati za jioni watu waliokuwa wamebeba silaha waliwashambulia Wanamgambo hao waliokuwa katika eneo la Soko la Mafuta ya Umultoriya katikati mwa mji wa Kismaayo.Walioshuhudia wanasema washambuliaji hao waliowaua Wanamgambo walichukua na kuondoka nao Bunduki mbili aina ya AK47 ya Wanamgambo wa Mhalifu Ahmed Madobe.

Si mara ya kwanza kufanyika mauaji katika mji wa Kismaayo ambao imekuwa uwanja wa Mapambano tangu mwishoni mwa mwaka 2012 ambapo Wanajeshi wavamizi kutoka Keya yalipoingia mji huo.

Liban Jehow Abdi

SomaliMemo,Mugadishu

Related Items