Mapigano yaliosababisha hasara kwa Wanajeshi wa Ethiopia yafnyika tena katika Mkoa wa Bakool.

Monday May 11, 2015 - 23:54:55 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 10641
  • (Rating 3.1/5 Stars) Total Votes: 47
  • 3 1
  • Share via Social Media

    Mapigano yaliosababisha hasara kwa Wanajeshi wa Ethiopia yafnyika tena katika Mkoa wa Bakool.

    Mapigano makali yameripotiwa tena katika baadhi ya maeneo ya jimbo la Bakool kusini Magharibi mwa Ardhi ya Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mapigano makali yameripotiwa tena katika baadhi ya maeneo ya jimbo la Bakool kusini Magharibi mwa Ardhi ya Somalia.


Habari kutoka Maeneo ya Rabduurre zinaarifu kuwa Mapigano makali kati ya Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab na Wanajeshi wa Ethiopia yamefanyika katika Barabara kuu inayounganisha kati ya Buur-Duhule na Rabduurre.Mwandishi wa habari aliyoko katika mikoa ya Bay na Bakool amearifu kuwa Jeshi la Kiislaam wameziteketeza Magari ya Wanajeshi wa Ethiopia.


Vyanzo muhimu zinaarifu kuwa mapigano hayo yaliodumu masaa kadhaa baadae yalisimama na kutulia huko Wanajeshi wa Ethiopia wakirusha makombora katika eneo la Pori.


Takriban Wiki mbili sasa Wanajeshi wa Ethiopia walikuwa wakikutana na mashambulio makali katika mkoa wa Bakool na inaonekana wazi shehena walizokuwa wakizivusha katika miji mbalimbali ya mkoa huo imekumbwa na wakati mgumu.


Liban Jehow Abdi

SomaliMemo,Mugadishu

Related Items