Shambulio iliyowaua Maaskari 10 wa Kenya yafanyika ndani ya nchi hiyo na Al-Shabab yathibitisha kutekeleza.

Wednesday May 13, 2015 - 22:37:20 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 14981
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 51
  • 5 7
  • Share via Social Media

    Shambulio iliyowaua Maaskari 10 wa Kenya yafanyika ndani ya nchi hiyo na Al-Shabab yathibitisha kutekeleza.

    Habari kutoka katika Ardhi ya Wasomali unaokaliwa kwa mabavu na Utawala wa Kenya zinaarifu kuwa vikosi vya Mujahidia wa Al-Shabab wamefanya mashambulio kweye eneo waliokuwepo Wanajeshi wa Kenya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka katika Ardhi ya Wasomali unaokaliwa kwa mabavu na Utawala wa Kenya zinaarifu kuwa vikosi vya Mujahidia wa Al-Shabab wamefanya mashambulio kweye eneo waliokuwepo Wanajeshi wa Kenya.Usiku wa kuamkia leo Mujahidina waliweza kufaya mashambulio yaliodumu masaa kadhaa katika kijiji cha Haamey ambao uko umbali wa KM 35 kutoka mpaka wa Kizushi kati ya Kenya na Somalia.Vyazo muhimu viliarifu kuwa Wanajeshi wa Kenya walioshambuliwa walipata hasara kubwa na takriban vituo vyote vya Kijiji cha Haamey viliteketea kwa moto,Maaskari Polisi walioangamia kwenye shambulio hilo ni zaidi ya 10.


Afisa aliyezungumza kwa niaba ya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ameliambia vyombo vya habari kuwa  Mujahidina ndio waliotekeleza opresheni hiyo iliyokuwa dhidi ya vituo vya Waajeshi wa Kenya katika eneo la mpakani.


Taarifa zaidi zinaeleza kuwa Serikali ya Kenya ilikata mawasiliano ya simu katika kijiji cha Haamey na kuongeza wanajeshi zaidi kwenye eneo iliyofanyika shambulio hilo.

Related Items