Baada ya Maandamano Makubwa yaliomwaga Damu nying sasa Jeshi la Burundi yachukua hatamu ya Uongozi wa nchi hiyo.

Wednesday May 13, 2015 - 22:39:46 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 11509
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 50
  • 0 1
  • Share via Social Media

    Baada ya Maandamano Makubwa yaliomwaga Damu nying sasa Jeshi la Burundi yachukua hatamu ya Uongozi wa nchi hiyo.

    Baada ya Wananchi wa Burundi kufanya maandamano makubwa yaliodumu wiki kadhaa na yaliomwaga Damu nyingi sasa Jeshi la nchi hiyo limeamua kufanya Mapinduzi ya kijeshi.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Baada ya Wananchi wa Burundi kufanya maandamano makubwa yaliodumu wiki kadhaa na yaliomwaga Damu nyingi sasa Jeshi la nchi hiyo limeamua kufanya Mapinduzi ya kijeshi.

Habari kutoka mji mkuu wa Burundi Bujumbura zinathibitisha kuwa Jeshi la nchi hiyo limeuteka kituo cha Radio na Televisheni ya Taifa na kutagaza kuwa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Pier Nkurunzinza wamemfukuza Kazi.Mkuu wa Shirika la Upelelezi wa Burundi na aliyewahi kuwa Balozi wa Kenya ametagazwa kushikilia kwa Muda kama Kiongozi wa nchi hiyo.

Mamia ya Wananchi waliokuwa katika Maadamano walielekea upande wa Ikulu na Kituo cha Idhaa ya Taifa na Televisheni ili kweda kuzungumza na Majenerali walioutwaa Madaraka.

Mapinduzi ya kijeshi yaliofanyika nchini Burundi huenda ukawa na Athari uvamizi wa Jeshi la nchi hiyo katika Ardhi ya Somalia.

Related Items