TIZAMA VIDEO:Wanamgambo wa Kishia wakipigana wenyewe kwa wenyewe katika mji wa Karbala nchini Iraq.

Friday July 04, 2014 - 00:14:29 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3205
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    TIZAMA VIDEO:Wanamgambo wa Kishia wakipigana wenyewe kwa wenyewe katika mji wa Karbala nchini Iraq.

    Wanamgambo wa Kishia wameanza kushambuliana wenyewe kwa wenyewe baada ya kushindwa vita na Waislaam wa Kisunni nchini Iraq.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wanamgambo wa Kishia wameanza kushambuliana wenyewe kwa wenyewe baada ya kushindwa vita na Waislaam wa Kisunni nchini Iraq.Habari kutoka nchini Iraq zinaeleza kuwa mapigano makali yamearifiwa katika mji wa Karbala kusini mwa nchi hiyo baada ya makundi ya wanamgambo wa kishia kushambuliana wenyewe kwa wenyewe na kusababisha hasara.

Habari zaidi zinaeleza kuwa kwenye makabiliano hayo ndege ya kivita ya utawala wa Nuri Al Maliki zilishiriki na kusababisha uharibivu mkubwa kwenye vituo vinayomilikiwa na Mshia anaejulikana Sarqi Al Husni.

Wanajeshi wa Nuri Al Maliki walioanza mapigano walikasirishwa na hatua ya mshia huyo wa Karbala kukataa Amri ya kushiriki mapambano yanayoendelea dhidi ya Waislaam wa Kisunni nchini Iraq.

Habari za mwisho zinaeleza Vifo viliotokana na Mapigano hayo ni 47 ya Wanamgambo wa Kishia wa Karbala na baado kuna hali ya tahruki katika maeneo ya mapambano,Viongozi wa Kishia wa Karbala wanakataa Fatwa iliyotolewa na Sistani ya kushiriki mapambano dhidi ya Waislaam wa Dola ya Kislaam na Waislaam wa Kisunni nchini Iraq.TIZAMA VIDEO HAPA CHINI


Related Items