Mbunge Mahamed Mahamuud Heyd auawa katika mji wa Mugadishu.

Friday July 04, 2014 - 00:18:24 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1462
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mbunge Mahamed Mahamuud Heyd auawa katika mji wa Mugadishu.

    Watu waliokuwa wamejihami na silaha wamewashambulia baadhi ya wabunge wa Serikali ya FG wakati ambapo Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ikiongeza mashambulio yake mjini Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Watu waliokuwa wamejihami na silaha wamewashambulia baadhi ya wabunge wa Serikali ya FG wakati ambapo Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ikiongeza mashambulio yake mjini Mugadishu.
Vyanzo muhumi vya kuaminika vinaarifu kuwa Mbunge Mohamed Mahamuud Heyd ameuawa huko Mbunge Abdullahi Ahmed husein akijeruhiwa vibaya kwenye shambulio hiyo iliyofanyika leo mjini Mugadishu.


Shuhuda mmoja aliyopo Wilaya ya Hamar Weyne amewaambia vyombo vya habari kuwa watu waliokuwa wamejihami na silaha huko wakiwa wamevalia Sare ya Maaskari wa Serikali ya FG ndio waliofanya mauaji hayo na baada ya muda mfupi waliondoka eneo hilo bila kudhuriwa.

Mwandishi wa SomaliMemo Liban Jehow aliyopo mji wa Mugadishu anasema Maaskari wa Serikali ya FG walikuwa wakifanya msako wa nyumba hadi nyumba katika mji wa Mugadishu lakini hatua hiyo haijasaidia chochote na kubadili hali mbaya ya usalama uliopo mji wa Mugadishu.

Kiongozi wa Serikali ya FG Hassan Sheikh hivi karibuni alinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa wamedhibiti hali ya usalama katika mji wa Mugadishu na wakati huo alitangaza Opresheni aliyoita "Futuru kwa Amani".

Liban Jehow Abdi


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items