Maaskari 11 wauawa na kujeruhiwa kwenye milipuko yalioutikisa mji wa Mugadishu jana usiku.

Friday July 04, 2014 - 16:11:24 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1450
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Maaskari 11 wauawa na kujeruhiwa kwenye milipuko yalioutikisa mji wa Mugadishu jana usiku.

    Kuna maelezo zaidi kuhusiana na milipuko kadhaa yalioutikisa katika mitaa mbalimbali mjini Mugadishu wakati ambapo hali ya usalama ukiwa ukiwa tete.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wanamgambo wa Serikali ya FG wakiwa wamepata hasara katika mji wa Mugadishu.
Kuna maelezo zaidi kuhusiana na milipuko kadhaa yalioutikisa katika mitaa mbalimbali mjini Mugadishu wakati ambapo hali ya usalama ukiwa ukiwa tete.

Maaskari wawili wa usalama wameuawa katika shambulio iliyofanyika karibu na Barabara ya Warshadaha Kaskazini mwa mji wa Mugadishu,mashuhuda wanasema Milipuko yaliofuatana yaliwajeruhi Maaskari 9 karibu na eneo la Hospitali ya Arafat huko Maaskari wawili wakiuawa karibu na Makaburi ya Barakaat baada ya kuviziwa.

Kwenye makutano ya Barabara ya Mizanka Duhusha kumefanyika shambulio la Bomu ambapo walilengwa Maaskari Polisi,kwa uchache jana usiku kulifanyika milipuko 11 ambapo yote yaliwalenga Maaskari wa Usalama wa Serikali ya FG mjini Mugadishu.

Liban Jehow Abdi

SomaliMemo,Mugaishu

Related Items