Shambulio uliosababisha hasara kubwa yafanyika nje ya Majengo ya Bunge la Serikali ya FG mjini Mugadishu.

Saturday July 05, 2014 - 21:44:01 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1417
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Shambulio uliosababisha hasara kubwa yafanyika nje ya Majengo ya Bunge la Serikali ya FG mjini Mugadishu.

    Habari kutoka mjini Mugadishu makao makuu ya Somalia zinaeleza kuwa mashambulio ya mabomu yamefanyika nje ya lango la Bunge la Serikali ya FG mjini Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mjini Mugadishu makao makuu ya Somalia zinaeleza kuwa mashambulio ya mabomu yamefanyika nje ya lango la Bunge la Serikali ya FG mjini Mugadishu.
Vyanzo vya kuaminika vinaeleza kuwa lango la kuingilia kwenye makao ya Bunge ililengwa na mlipuko mkubwa wa Bomu uliosababisha hasara.

Kwa uchache wanajeshi 20 wa Serikali ya FG imethibitishwa wameuawa kwenye mkasa huo na wengine wengi kujeruhiwa vibaya.
Habari zaidi zimedokeza kuwa opresheni hizo zililengwa Wanajeshi wa Serikali ya FG waliokuwa wakilinda Makao ya Bunge la Serikali ambapo wengi wao waliathiriwa na shambulio hilo.

Ni Shambulio la pili kufanyika ndani ya miezi miwili kwenye makao ya Bunge la Serikali ya FG inayoongozwa na Hassan Sheikh na mashambulio haya yanakuja wakati ukiwa ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhaan.
Mahad Kheyr

SomaliMemo,Mugadishu

Related Items