Taliban wateketeza Makumi ya Magari ya NATO walioivamia Afghanistaan.

Saturday July 05, 2014 - 21:49:38 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2121
  • (Rating 5.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Taliban wateketeza Makumi ya Magari ya NATO walioivamia Afghanistaan.

    Mujahidina wa Imaratul Islamiah ya Afghanistaan wameongeza harakati yao dhidi ya Wavamizi wa NATO na Wanamgambo Vibaraka wa Hamid Karzai.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Mujahidina wa Imaratul Islamiah ya Afghanistaan wameongeza harakati yao dhidi ya Wavamizi wa NATO na Wanamgambo Vibaraka wa Hamid Karzai.

Ikiwa ni msururu wa mashambulio makubwa yaliopewa jina la Kheybar ambayo hufanyika ndani ya msimu wa Baridi nchini Afghanistaan,Vikosi vya Mujahidina wa Taliban leo wamefanya shambulio iliyopangwa vizuri dhidi ya Msafara wa Ushirika wa NATO.


Habari zaidi kutoka Afghanistaan zinaeleza kuwa vikosi vya Mujahidina wa Imaratul Islamiah wamekamata Magari 400 waliokuwa wamebeba Shehena kwa Wanajeshi wa NATO.

Vyanzo muhimu vya kuaminika vinaeleza kuwa Makumi ya Magari nyingi zikiwa Matenki ya Mafuta zinateketea kwa moto nje ya mi wa Kaabul.

Wapiaganaji wa Taliban katika siku za hivi karibuni walikuwa na opresheni kabambe katika miji na vijiji yalio kwenye mipaka ya kizushi kati ya Afghanistaan na Pakistaan huko wakiutwaa Ardhi zaidi.

Related Items