Shambulio iliyosababisha hasara kubwa yafanyika ndani ya Kenya na Al-Shabab wakiri kuhusika.

Sunday July 06, 2014 - 22:57:26 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2712
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Shambulio iliyosababisha hasara kubwa yafanyika ndani ya Kenya na Al-Shabab wakiri kuhusika.

    Habari kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa mashambulio mengine mapya yamefanyika baadhi ya mikoa ya yaliopo nchini Kenya ambapo mwishoni mwa mwezi jana kulifanyika pia mashambulio kama hayo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa mashambulio mengine mapya yamefanyika baadhi ya mikoa ya yaliopo nchini Kenya ambapo mwishoni mwa mwezi jana kulifanyika pia mashambulio kama hayo.
Maofisa wa Polisi nchini Kenya wamethibitisha kutokea tukio hilo na kudai kuwa mashambulio matatu yamefanyika na vituo vya Polisi na Nyumba kadhaa kuchomwa Moto pamoja na vifo vya watu kadhaa.

Vyanzo vya kuaminka ambapo vyombo vya habari nchini Kenya vimetangza Kijiji cha Hindi iliyo karibu na Kisiwa cha Lamu ndio kilichofanyika makabiliano yaliodumu masaa kadhaa.
Pia Shambulio linegine iliyosababisha hasara limefanyika jana usiku kwenye makazi ya Gamba Tanariver,Sheikh Abdulazizi Abuu Mus'ab amewaambia vyombo vya Habari kuwa Vikosi vyao vimeshambulia nchi ya Kenya.

Msemaji huyo wa Kijeshi wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen amesema kwenye shambulio hilo wamewaua watu zaidi ya 20,upande wa Serikali ya Kenya wamekiri kuuliwa watu 28 kwenye mashambulio hayo.
Mashambulio yaliofanyika Mpekoteni iliyo kwenye Kisiwa cha Lamu yaliua watu 70 mwezi jana mwaka huu,na hii ni misururu ya mashambulio yanyolenga maslahi ya Serikali ya Kenya tangu kufanya uvamizi wa Kijeshi katika Ardhi ya Somalia.

Related Items