Makabiliano yaliofanyika katika mikoa ya Bay,Bakool na Lower Jubba.

Monday July 07, 2014 - 23:53:01 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1503
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Makabiliano yaliofanyika katika mikoa ya Bay,Bakool na Lower Jubba.

    Vikosi vya Mujahidina katika Wilayati za Kislaam jana usiku wa manaene walizishambulia vikali vituo vya Wanajeshi wa kiafrika waliovamia Ardhi ya Somalia na kusababisha hasara kwa wanajeshi hao.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Mujahidina katika Wilayati za Kislaam jana usiku wa manaene walizishambulia vikali vituo vya Wanajeshi wa kiafrika waliovamia Ardhi ya Somalia na kusababisha hasara kwa wanajeshi hao.Habari kuoka Wilaya ya Hudur Mkoani Bakool zinaeleza kuwa kulifanyika mapigano makali yaliodumu masaa kadhaa ndani ya mji huo.

Mwandishi wa habari aliyopo Bakool anaripoti kuwa Mujahidina walikabiliana na Wanajeshi wavamizi wa misalaba kutoka Ethiopia waliokuwa na kambi ndani ya Wilaya ya Hudur huko milio ya risasi na silaha nzito zikisikika kwenye mji huo.
Hata hivyo Mujahidina walifanya mashambulio makali dhidi ya kituo cha Wanajeshi wa Ethiopia katika mji wa Qansahdere mkoani Bay.
Upande mwingine Mujahidina walifanya mashambulio makali dhidi ya Wanajeshi wavamizi kutoka Kenya katika Wilaya ya Qoqani Mkoani Lower Jubba haijajulikana rasmi hasara iliyopatikana kutokana na Mapigano ya jana usiku yaliofanyika kusini mwa Ardhi ya Somalia.Related Items