Washambuliaji waua Maaskari na Wanajeshi Magharibi mwa Uganda.

Tuesday July 08, 2014 - 10:07:13 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2091
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Washambuliaji waua Maaskari na Wanajeshi Magharibi mwa Uganda.

    Habari kutoka Magharibi mwa Uganda zinaeleza kuwa Maaskari na Wanajeshi kadhaa wameuawa baada ya kushambuliwa na Watu waliokuwa wamejihami na silaha nzito.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Baadhi ya Miili ya Wanajeshi wa Uganda waliouawa nchini Somalia.
Habari kutoka Magharibi mwa Uganda zinaeleza kuwa Maaskari na Wanajeshi kadhaa wameuawa baada ya kushambuliwa na Watu waliokuwa wamejihami na silaha nzito.
Maofisa wa Usalama nchini Uganda wamethibitisha kutokea mauaji hayo na kukiri kuwa zaidi ya Maaskari na Wanajeshi 4 wameuawa baada ya washambuliaji waliojihami kushambulia Vituo na Kambi ya Wanajeshi wa KDF zilizopo Bundibugyo katika Wilaya ya Kasese Magharibi mwa Uganda.

Vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa Maaskari na Wanajeshi waliouawa ni zaidi ya idadi iliyotajwa na Maofisa wa Usalama wa Uganda.
Mauaji hayo yanakuja siku chache tu baada ya Serikali ya Marekani kutahadharisha mashambulio kutoka kwa kile ilichokitaja ya kigaidi yanayolenga Maslahi ya Uganda.Uganda ni Sehemu ya Wanajeshi wa AMISOM waliovamia Ardhi ya Somalia ambayo ni Wakala wa Mataifa ya Amerika na nchi za Magharibi ili kuubomoa nidhamu ya Sheria za Kislaam.

Related Items