Makabiliano makali yanaendelea hivi sasa katika kasri ya Ikulu ya Villa Somalia na Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab waingia ndani.

Tuesday July 08, 2014 - 23:35:29 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1813
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Makabiliano makali yanaendelea hivi sasa katika kasri ya Ikulu ya Villa Somalia na Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab waingia ndani.

    Milio ya Risasi na milipuko zinasikika ndani ya Kasri ya Rais inayojulikana Villa Somalia ambapo ni kituo kikuu ya Viongozi wa Serikali ya FG.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Milio ya Risasi na milipuko zinasikika ndani ya Kasri ya Rais inayojulikana Villa Somalia ambapo ni kituo kikuu ya Viongozi wa Serikali ya FG.
Mwandishi wa SomaliMemo mjini Mugadishu Liban Jehow anasema milio ya silaha nzito na yale ya Rashasha zimesikika kwenye maeneo yalio karibu na Ikulu ya Villa Somalia.

Shuhuda mmoja aliyopo mtaa wa Bondere ameliambia SomaliMemo kuwa walisikia milipuko mikubwa mitatu na baadae ikafuatia risasi upande wa Ikulu ya Rais wa Serikali ya FG mjini Mugadishu.
"Ilisikika mlipuko mkubwa na baadae ukafuatia makabiliano ya kurushiana risasi kutoka pande kadhaa,na ninahisi Al-Shabab wametumbukia ndani ya Ikulu na wameanza kufyatua risasi",alisema shuhuda.
Fuatilia yatakayojiri Inshallah

Related Items