Hassan Sheikh kiongozi wa Serikali ya FG amesemaji kuhusiana na Shambulio la Jana usiku kwenye IKULU mjini Mugadishu.

Wednesday July 09, 2014 - 10:41:30 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2007
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Hassan Sheikh kiongozi wa Serikali ya FG amesemaji kuhusiana na Shambulio la Jana usiku kwenye IKULU mjini Mugadishu.

    Kiongozi wa Serikali ya FG Hassan Sheikh amezungumzia Shambulio la jana usiku uliodumu masaa kadhaa ambapo ulifanyika kwenye Ikulu ya Villa Somalia mjini Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kiongozi wa Serikali ya FG Hassan Sheikh akitafakari jambo.
Kiongozi wa Serikali ya FG Hassan Sheikh amezungumzia Shambulio la jana usiku uliodumu masaa kadhaa ambapo ulifanyika kwenye Ikulu ya Villa Somalia mjini Mugadishu.Hassan Sheikh amekanusha habari iliyosema kuwa yeye na baadhi ya Viongozi wengine wamekimbizwa na Magari ya AMISOM hadi katika Kambi kuu ya Halane.

Amezungumzia misururu ya mashambulio yanayoilenga Serikali yake ambapo Mujahidina wa Al-Shabab yanafanya mjini Mugadishu ambayo kiongozi huyo hakuchukulia uzito wowote na kauli hiyo huenda ikawakasirisha Wabunge waliotaka kumwangusha kwa kutumia Kura ya Maoni ambapo walikasirishwa shambulio iliyofanyika Ikulu mmwezi February mwaka huu.
Alipogusia shambulio la mara ya pili iliyofanyika IKULU amesema "Utawala huu umeshavuka na siyo wakati wa kuiogopa Al-Shabab".

Related Items