Viongozi wa Usalama na Polisi wafukuzwa kazi na Khalif Ereg kuwa Waziri wa Usalama.

Wednesday July 09, 2014 - 22:45:58 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1701
  • (Rating 3.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Viongozi wa Usalama na Polisi wafukuzwa kazi na Khalif Ereg kuwa Waziri wa Usalama.

    Kiongozi wa Serikali ya FG amefanya mabadiliko kwenye uongozi wa Mashirika ya Usalama baada ya kufanikiwa opresheni kubwa iliyofanywa na Al-Shabab kwenye jumba la IKUKU mjini Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Waziri mpya wa Usalama wa Serikali ya FG Khalif Ereg.
Kiongozi wa Serikali ya FG amefanya mabadiliko kwenye uongozi wa Mashirika ya Usalama baada ya kufanikiwa opresheni kubwa iliyofanywa na Al-Shabab kwenye jumba la IKUKU mjini Mugadishu.
SomaliMemo imepata nakala ya Taarifa rasmi iliyotolewa na Ofisi ya Hassan Sheikh kiongozi wa Serikali ya FG ilimfukuza kazi Abdulhakiim Said Mkuu wa Polisi na Bashiir Goobe Mkuu wa Usalama wa Taifa wa Serikali ya FG.

Hata hivyo Hassan Sheikh amemteua Khalif Ereg kuwa Waziri wa Usalama ambao miezi michache uliopita cheo hicho alikuwa nayo Abdilkariim Husein Guleed kabla ya kujiuzuli kutoka kwenye cheo hicho cha Uwaziri.

Related Items