Sheikh Ali Dere azugumza na vyombo vya habari na kufafanua opresheni iliyofanyika IKULU.

Wednesday July 09, 2014 - 22:51:35 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3412
  • (Rating 5.0/5 Stars) Total Votes: 2
  • 4 0
  • Share via Social Media

    Sheikh Ali Dere azugumza na vyombo vya habari na kufafanua opresheni iliyofanyika IKULU.

    Sheikh Ali Mahamuud Rage "Sheikh Ali Dere" amezungumza na vyombo vya habari na kufafanua opresheni kubwa iliyofanyika jana usiku katika IKULU mjini Mugadishu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Msemaji mkuu wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen Sheikh Ali Mahamuud Rage (Sheikh Ali Dere)
Sheikh Ali Mahamuud Rage "Sheikh Ali Dere" amezungumza na vyombo vya habari na kufafanua opresheni kubwa iliyofanyika jana usiku katika IKULU mjini Mugadishu.


Msemaji wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen amesema Vikosi vya Mujahidiina waliingia ndani ya majengo ya Ikulu na kuwaua Maofisa wa Serikali ya FG na yale ya AMISOM.
Sheikh Ali Dere amethibitisha kuwa Vikosi vyao waliingia Majengo muhimu ya Villa Somalia na kufanya mauaji makubwa dhidi ya Wanajeshi na Viongozi kadhaa,na amegusia namna opresheni hiyo ilivyofanyika kwenye Jumba la IKULU.Alipogusia Wanaume waliofanya opresheni hiyo amesema baadhi ya Vikosi hivyo vya Mujahidina walirudi wakiwa Salama huko wengine wakipata Shahada,"Baadhi ya Vikosi vya Mujahidina walirudi wakiwa Salama salmin kwenye vituo vyao na wengine Allah amewaruzuku Shahada",alisema Ali Dere.Harakat Al-Shabab Al Mujahideen imetishia kuendeleza mashambulio yalio na machungu zaidi ya haya na kuwatahadharisha viongozi wa FG kuendelea kufanyakazi na Maadui wa Kigeni.Related Items