VIDEO:Takriban watu 100 wameuawa kwenye uvamizi wa Israel katika mji wa Ghaza.

Thursday July 10, 2014 - 23:46:37 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2233
  • (Rating 1.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 1
  • Share via Social Media

    VIDEO:Takriban watu 100 wameuawa kwenye uvamizi wa Israel katika mji wa Ghaza.

    Habari kutoka ukanda wa Ghaza katika Ardhi ya Wapalastina zinaeleza kuwa Mayahudi wamezidisha mashambulio yao dhidi ya Waislaam wa Falastina.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka ukanda wa Ghaza katika Ardhi ya Wapalastina zinaeleza kuwa Mayahudi wamezidisha mashambulio yao dhidi ya Waislaam wa Falastina.

Kwa uchache watu 72 wameuawa kwenye mashambulio yaliofanywa na Ndege za Israel katika mitaa mbalimbali wa mji wa Ghaza.
Waandishi wa habari waliopo mji wa Ghaza wanaeleza Mujahidina kwa Upande wao wamejibu mapigo na kushambulia makombora ya Qasam katika mji mkuu wa Israel Televiv ambao ni sehemu ya Ardhi ya Waislaam wa Falastine unaoshikiliwa kwa mabovu na Utawala huo haramu.

TIZAMA VIDEO KWA MFUMO WA YOUTUBE HAPA CHINI

Related Items