Umoja wa Afrika wamteua mwakilishi mpya katika uongozi wa AMISOM.

Thursday July 10, 2014 - 23:50:12 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1495
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Umoja wa Afrika wamteua mwakilishi mpya katika uongozi wa AMISOM.

    Umoja wa nchi za Kiafrika A.U umemteua mwakilishi katika uongozi wa AMISOM mwanasiasa mzaliwa wa nchi ya Niger iliyo kaskazini mwa Bara la Afrika.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Umoja wa nchi za Kiafrika A.U umemteua mwakilishi katika uongozi wa AMISOM mwanasiasa mzaliwa wa nchi ya Niger iliyo kaskazini mwa Bara la Afrika.


Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na A.U imesema kuwa nafasi iliyoachwa na Mohamed Al Nadiif umejazwa baada ya kuachia ngazi bila kutarajiwa mwezi uliopita.
Moman Sidque mzaliwa wa Niger atakuwa kiongozi wa kile kinachoitwa Harakati za AMISOM nchini Somalia,Afisa huyo aliyeteuliwa na Umoja wa Afrika alishawahi kushika nyadhifa wa unaibu wa Waziri wa Habari nchini Niger.
Wavamizi wa Kiafrika wanaotumiwa na Mataifa ya Amerika na nchi za Ulaya wamefeli Uvamizi wao katika Wilayati za Kislaam kusini na katikati mwa Ardhi ya Somalia.
Wanajeshi wa AMISOM wamewekwa kwenye mzingiro mkubwa katika miji walioingia kusini na katikati mwa Ardhi ya Somalia mwezi Machi mwaka huu na kushindwa kufurukuta.

Related Items