UFAFANUZI:Meli inayomilikiwa na Kenya yaharibika kwenye ufukwe mwa Bahari katika Mkoa wa Shebelle ya Kati nchini Somalia.

Thursday July 10, 2014 - 23:52:38 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2192
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    UFAFANUZI:Meli inayomilikiwa na Kenya yaharibika kwenye ufukwe mwa Bahari katika Mkoa wa Shebelle ya Kati nchini Somalia.

    Habari kutoka katika mkoa wa Shabelle ya Kati zinaeleza kuwa Meli ya kibiashara inayomilikiwa nchini Kenya imetia nanga katika maeneo yaliopo Wilayatul Islamiah ya Shabelle ya Kati.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka katika mkoa wa Shabelle ya Kati zinaeleza kuwa Meli ya kibiashara inayomilikiwa nchini Kenya imetia nanga katika maeneo yaliopo Wilayatul Islamiah ya Shabelle ya Kati.Meli hiyo iliyotoka upande wa Bandari ya Mugadishu na kuelekea katika mji wa Pwani wa Mombasa ulipatwa na tatizo kubwa upande wa Injini ilipokuwa kwenye Bahari ya Hindi.

Vyanzo muhimu vinaeleza kuwa Meli hiyo ilitia nanga kwenye Makaazi ya Meyraaley iliyo chini ya Wilaya ya Raaga Ele Mkoani Shabelle ya Kati nchini Somalia.

Habari zaidi zinaeleza kuwa Wakaazi wa eneo hilo walianza kuchukua Mali zilizokuwepo kwenye Meli hiyo na pia kunaendelea juhudi ya kuwaokoa wafanykazi waliokuwemo kwenye Meli hiyo ambao idadi yao ni 10 pamoja na Nahodha wa Meli hiyo,habari za mwanzo zinaeleza kuwa Meli hiyo inamilikiwa na Wafanyabiashara wa Kenya.
Abuu Bakar Haji Nahodha wa Meli hiyo amesema Meli yake ilipatwa na tatizo kubwa kwenye upande wa Injini na ameonyesha matarajio yake ya kuokolewa Meli hiyo.
Eneo iliyotia nanga Meli hiyo ni baadhi ya maeneo yanayodhibitiwa na Utawala wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen ya Shabelle ya kati na huenda Maofisa wa Usalama wa Wilayatul Islamiah ya Shabelle ya Kati.
Liban Jehow Abdi


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items