Wanajeshi wauawa kwenye mji wa Baydabo na hali ya wasiwasi yaikumba mji huo.

Friday July 11, 2014 - 22:57:52 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1546
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Wanajeshi wauawa kwenye mji wa Baydabo na hali ya wasiwasi yaikumba mji huo.

    Habari kutoka mkoa wa Bay zinaeleza kuwa Wanamgambo waliokuwa wakisaidia Wanajeshi wa Ethiopia wameuawa na watu waliokuwa wamejihami na Silaha katikati mwa mji wa Baydoba.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoa wa Bay zinaeleza kuwa Wanamgambo waliokuwa wakisaidia Wanajeshi wa Ethiopia wameuawa na watu waliokuwa wamejihami na Silaha katikati mwa mji wa Baydoba.
Mashuhuda wanasema Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wamewaua Maaskari wawili katika mtaa wa Mursal na kisha kuchukua Bunduki zao.

Milio ya Silaha uliskika katika mji wa Baydoba na wafanya biashara walifunga maduka zao,wakaazi wa mji huo wanasema Wanamgambo kadhaa wa Kisomalia wanaosaidiana na Wanajeshi wa Ethiopia waliweka Difai zao mbele ya milango ya Vituo vyao waliokuwa nayo kwenye mji wa Baydoba.
Mji wa Baydoba ambayo kuna Maelfu ya Wanajeshi wa Ethiopia inaarifiwa kuna wasiwasi wa kivita na siku za mwishoni walionekana Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wakizungukia mji huo.

Related Items