PICHA za kusikitisha kwa ndugu zetu waislaam wa Ghaza,Misri yakataa kuwapokea Mejeruhi walio na hali mbaya.

Saturday July 12, 2014 - 23:39:54 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 7076
  • (Rating 2.0/5 Stars) Total Votes: 3
  • 1 1
  • Share via Social Media

    PICHA za kusikitisha kwa ndugu zetu waislaam wa Ghaza,Misri yakataa kuwapokea Mejeruhi walio na hali mbaya.

    Wanajeshi wa Kizayuni baado wameendelea mauaji dhidi ya Waislaam wa Mji wa Ghaza ambao Mayahudi wanaikalia kwa mabavu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wanajeshi wa Kizayuni baado wameendelea mauaji dhidi ya Waislaam wa Mji wa Ghaza ambao Mayahudi wanaikalia kwa mabavu.Habari kutoka Ardhi ya Falastine zinaeleza kuwa waislaam zaidi ya 150 tayari wamekwishauawa na mashambulio ya ndege ya Utawala Haramu wa Israel kwenye mji wa Ghaza.

Picha kadhaa zinasosikitisha na kuhuzunisha zimerikodiwa kutoka kwenye mitaa mbalimbali ya mji wa Ghaza,watoto ambao wazazi wao wameuawa lakini kutokana na utoto wao hawajui kuwa wazazi hao tayari wamekwishauliwa wanajaribu kuwaamsha na kulia juu ya miili na kuwaambia "Baba,Mama amka amka!". 

Embedded image permalink
http://wata.cc/up/2014/07/images/w-913abe52d9.jpg
Maskini mtoto huyo anaonekana kumlilia baba yake na ameonekana akisema Baba Amka!.Makombora yanayorushwa kutoka ndege ya F16 Abaaja zmieendelea kuishambulia wananchi wa Kislaam wa mji wa Ghaza,Majeruhi zimejaza kwenye Vituo vya Afya.

http://wata.cc/up/2014/07/images/w-b3b29928c8.jpg

Mwanaume huyo ameuawa mwanae na mashambulio ya ndege ya Utawala Haramu wa Kizayuni ameonekana akiwa na Shork!,ni vitendo vya Jinai yanayofanywa na Makundi aliyowataja Allah kuwa ni "Watoto wa Manguruwe na Manyani".
Mola wetu Mlezi Uwanusuru Ndugu zetu wa Ghaza ewe Allah mwenye nguvu wa kila kitu yaporomoshe na uyaharibu Ndege za Mayahudi wa Israel.Related Items