Koo ya Elay yatoa Ngamia 100 kwa Koo ya Dabarre kama Fidia au Diya.

Sunday July 13, 2014 - 06:57:06 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1636
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Koo ya Elay yatoa Ngamia 100 kwa Koo ya Dabarre kama Fidia au Diya.

    Wilayatul Islamiay ya Jubba ya Kati imeyasuluhisha na kukabidhisha Diya kati ya Koo mbili ya waislaam ndugu ambao ni Elay na Dabarre kutokana na koo mmoja kumwua mtu mmoja bila makosa.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wilayatul Islamiay ya Jubba ya Kati imeyasuluhisha na kukabidhisha Diya kati ya Koo mbili ya waislaam ndugu ambao ni Elay na Dabarre kutokana na koo mmoja kumwua mtu mmoja bila makosa.Hafla iliyofanyika kwenye mji wa Saakow mkoani Jubba ya Kati nchini Somalia Koo ya Elay imekabidhi Ngamia 100 mia mmoja kama Diya au Fidia kwa mtu mmoja iliyomwua wa Koo ya Dabarre.

Ugaas Gedow Abdi Uthmaan ambae ni kiongozi wa Koo ya Dabarre amethibitisha kwa upande wao kukabidhiwa Ngamia wapatao mia mmoja kutoka kwa Koo ya Elay.
Mahakama ya Kislaam ya Wilaytul Ismaiah ya Jubba ilitekeleza hukumu hiyo hapo awali na Koo aliyouawa mtu wao kuomba kupewa Fidia au Diya kama alivyotaja Allah katika Qur'an.
Ni Mara ya kwanza kwa Koo inayoishi katika Mkoa wa Jubba ya Kati kutoa Fidia au Diya ya Ngamia mia mmoja kwa koo nyingine na hii ni hatua mmoja wapo ya Utwabiqishwaji kwa Sheria za Kislaam nchini Somalia.

Related Items