Watu waliopatikana na hatia ya kufanya Ujasusi wauawa katika mji wa Baraawe nchini Somalia.

Sunday July 13, 2014 - 07:00:25 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2087
  • (Rating 4.0/5 Stars) Total Votes: 2
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Watu waliopatikana na hatia ya kufanya Ujasusi wauawa katika mji wa Baraawe nchini Somalia.

    Katika Uwanja mkubwa uliopo mji wa Baraawe mkoani Lower Shabelle wanaumme wawili wametekelezewa hukumu ya Kifo ambapo walikamatwa wakifanya tajasus na kufanyakazi na Maadui wa Kigeni waliovamia Ardhi ya Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Katika Uwanja mkubwa uliopo mji wa Baraawe mkoani Lower Shabelle wanaumme wawili wametekelezewa hukumu ya Kifo ambapo walikamatwa wakifanya tajasus na kufanyakazi na Maadui wa Kigeni waliovamia Ardhi ya Somalia.
Sheikh Mohamed Abuu Abdallah Waali wa Wilayatul Islamiah ya Lower Shabelle ambae amezungumza na Wananchi kwenye Uwanja huo amesema Maofisa wa Usalama wa Mujahidina waliwakamata Wanaume wawili Majasusi na baada ya kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kislaam walikiri makosa yao.

Abdi Hassan mwenye umri wa miaka 29 amepatikana na hatia ya kufanyakazi na Shirika la Ujasusi wa Serikali ya FG na baadae aliauawa na pia mtuhumiwa wa Pili aliyetajwa kwa jina la Said Husein Ali wote kwa pamoja wameuawa kwenye Uwanja huo mbele ya Kadam nasi waliohudhuria.

Related Items