Maaskari wa Tanzania wavamia nyumba ya Sheikh Abuu Ismail na kumdhalilisha mke wa Shekhe.

Sunday July 13, 2014 - 13:36:53 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 16940
  • (Rating 2.7/5 Stars) Total Votes: 3
  • 8 6
  • Share via Social Media

    Maaskari wa Tanzania wavamia nyumba ya Sheikh Abuu Ismail na kumdhalilisha mke wa Shekhe.

    Hali ya wasiwasi imetanda katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania kufuatia kukamatwa Da'ia wa Da'awah ya Haqi Sheikh Abuu Ismail Ibrahim Assalafiyu.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Hali ya wasiwasi imetanda katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania kufuatia kukamatwa Da'ia wa Da'awah ya Haqi Sheikh Abuu Ismail Ibrahim Assalafiyu.


Habari kutoka mkoani Mwanza zinaeleza kuwa Maaskari wa kupambana na uislaam walivamia nyumba ya Shekhe Maarufu na kufanya uharibifu kwenye nyumba hiyo.
Habari iliyoenea kwenye mitandao za kijamii zimeeleza Mke wa Sheikh Abuu Ismail Ibrahim Asalafiyu alidhalilishwa mbele ya Shekhe kwa kuvuliwa Nguo na Maaskari hao wa Tanzania.
Taarifa ilieleza kuwa uvamizi huo ulitokea kwenye mida ya saa saba usiku wa manane huko Maaskari hao waliokadiriwa kufikia idadi yao zaidi ya kumi wakiwa na Silaha.

Duru kutoka mkoani Mwanza magharibi wa Tanzania zilieleza kuwa Maaskari hao Madhalimu walipovamia Nyumba ya Shekhe walianza kuvunja na Markaz ya Darul Arqam ambapo ni Madrasa anayofundisha na walianza kumpiga vibaya Mwanafunzi aliyokuwa amelala kwenye Madrasa hiyo.

Baada ya kumaliza kumpiga mwanafunzi huyo walienda kwa nyumba ya Shekhe alikolala na Ahli wake na kuanza kufanya jinai ya kumdhalilisha kwa kumvua nguo huko wakitoa maneno ya kashfa dhidi ya Shekhe Abuu Ismail.

Alipohoji Sheikh Abuu Ismail ni kwanini wanamdhalilisha na kumvua nguo mke wake,Maaskari hao walijibu kwa maneno ya kejeli na kashfa kwa kusema kuwa "haya vua nguo yako na umpatie!".

Mpaka kufikia jumapili leo asubuhi Sheikh Abuu Ismail Hafidhahullah Waraau hakujulikana walikompeleka baada ya kuondoka nao kusikojulikana usiku wa manane.

Serikali ya Tanzania imekuwa sehemu ya mradi wa kupambana na kile walichokiita Ugaidi ambao maana yake ni kupambana na Uislaam,itakumbukwa mwezi october mwaka jana Serikali kwa kutumia Wanajeshi wa JWTZ iliwaua mamia ya Waislaam kwenye Wilaya ya Kilindi na Madina mkoani Tanga.

Tunamwomba Allah ampe thabata Shekh Abuu Ismail na Subra kutokana na Shari ya Maadui wa Uislaam.
Chanzo:kwa misaada ya mitandao za Kijamii Afrika Mashariki


Related Items