Maaskari wa Kenya waua Mfanya biashara Maarufu iliyokuwa ikimtuhumu kesi ya Ugaidi.

Sunday July 13, 2014 - 15:34:49 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2447
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 1 0
  • Share via Social Media

    Maaskari wa Kenya waua Mfanya biashara Maarufu iliyokuwa ikimtuhumu kesi ya Ugaidi.

    Habari kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa Maaskari wa kupambana na Ugaidi/Uislaam wamempiga Risasi na kumwua mfaynbiashara.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka nchini Kenya zinaeleza kuwa Maaskari wa kupambana na Ugaidi/Uislaam wamempiga Risasi na kumwua mfaynbiashara.
Watu waliokuwa wamejihami na Silaha walimpiga Risasi mfanyabiashara maarufu Mohamed Shahiid Bhat jana usiku mjini Mombasa.
Mohamed Shahid Butt alikuwa ndani ya gari lake akitokea kwenye uwanja wa ndege siku ya Ijumaa, ambapo gari lake lilizuiwa na gari jingine kabla ya watu wawili kumpiga risasi.Bwana Butt alikuwa afike mahakamani mwezi ujao kujibu mashtaka ya tuhuma za kufadhili itikadi kali kwa vijana wa Kiislam. Wanaharakati wa haki za binaadam pamoja na Waislaam nchini Kenya wameituhumu serikali ya Kenya kwa kuhusika na mauaji hayo, kwa kuwa kesi chache zimeweza kushughulikiwa.Related Items