Wanajeshi 11 wa Kenya wauawa nje kidogo na mji wa Afmadow.

Wednesday July 16, 2014 - 23:39:10 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1661
  • (Rating 5.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 1 2
  • Share via Social Media

    Wanajeshi 11 wa Kenya wauawa nje kidogo na mji wa Afmadow.

    Habari kutoka mkoa wa Lower Jubba zinaeleza kuwa kumefanyika mashambulio makubwa dhidi ya Wanajeshi wa Kenya waliovamia Ardhi ya Waislaam wa Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Wanajeshi wa KDF
Habari kutoka mkoa wa Lower Jubba zinaeleza kuwa kumefanyika mashambulio makubwa dhidi ya Wanajeshi wa Kenya waliovamia Ardhi ya Waislaam wa Somalia.
Afisa mmoja wa Mujahidina wa Al-Shabab amesema vikosi vyao vimeuteketeza magari mawili ya Wanajeshi wa Kenya walipokuwa wakitembea nje ya mji wa Afmadow.

Habari zaidi zinaeleza kwenye makabiliano hayo Al-Shabab walifanikiwa kuwaua Wanajeshi 11 wa Jeshi la KDF,Duru za kuaminika zilieleza kuwa mmoja wa Magari hizo zilizoteketezwa ililipuliwa na Bomu la Kutegwa Ardhini na Gari la pili ilipigwa Silaha kubwa ya kuweka Begani inayotumiwa na Wanajeshi wa Kislaam wa Al-Shabab.
Upande mwingine mlipuko mkubwa uliofanyika katikati mwa mji wa Marka iliwalenga Wanajeshi wa Burundi ambao ni Sehemu ya Wanajeshi wavamizi waliojiita AMISOM.
Walioshuhudia wanasema Gari hilo iliteketea vibaya na Dereva aliyokuwa akiendesha ameuawa na mlipuko huo.

Related Items