Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen waudhibiti mji wa Jowhar kwa Mapigano na kisha kuiachia usiku wa kuamkia jana.

Friday July 18, 2014 - 01:34:05 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 2218
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen waudhibiti mji wa Jowhar kwa Mapigano na kisha kuiachia usiku wa kuamkia jana.

    Habari kutoka mkoa wa Shabelle ya kati zinaeleza kuwa Vikosi vya Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wameingia mji wa Jowhar kwa mapigano usiku wa kuamkia 17,July,2014.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoa wa Shabelle ya kati zinaeleza kuwa Vikosi vya Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen wameingia mji wa Jowhar kwa mapigano usiku wa kuamkia 17,July,2014.Baada ya mapigano makali uliodumu masaa kadhaa Mujahidina wa Al-Shabab walifanikiwa kuudhibiti baadhi ya mitaa ya mji wa Jowhar yaliokuwa mikononi mwa Wanajeshi wa AMISOM na wanamgambo wa Serikali Shirikisho ya Somalia (FG).

Mapigano hayo yalioanza jana usiku wa manane yaligharimu maisha ya Maaskari wawili wa utawala wa mji wa Jowhar,vyanzo vya kuaminika zilieleza kuwa baadhi ya mitaa ya mji huo ulidhibitiwa na Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab ingawa baadae walijiondoa.
Ni Mapigano makubwa kuwahi kufanyika katika mkoa wa Shabelle ya Kati tangu kwanza kwa mfungo wa Mwezi mtukufu wa Ramadhaan,mpaka sasa hakuna taarifa kutoka utawala wa mji wa Jowhar na pia upande wa Harakat Al-Shabab Al Mujahidina kuhusiana na Mashambulio hayo.
Liban Jehow Abdi


SomaliMemo,Mugadishu
Related Items