Mapigano yaliodumu masaa kadhaa yafanyika nje ya mji wa Kismaayo.

Friday July 18, 2014 - 01:37:37 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1923
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mapigano yaliodumu masaa kadhaa yafanyika nje ya mji wa Kismaayo.

    Vikosi vya Mujahidina wa Wilayatul Islamiah ya Lower Jubba walifanya mashambulio dhidi ya vituo vya Wanajeshi wa Kenya na yale ya Ahmed Madobe nje kidogo ya mji wa Kismaayo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Vikosi vya Mujahidina wa Wilayatul Islamiah ya Lower Jubba walifanya mashambulio dhidi ya vituo vya Wanajeshi wa Kenya na yale ya Ahmed Madobe nje kidogo ya mji wa Kismaayo.Habari kutoka mkoa wa L/Jubba zinaeleza kuwa mapema jana usiku kulifanyika mashambulio kwenye uwanja wa Ndege wa mji wa Kismaayo ambayo kuna kituo cha Wanajeshi wa Kenya.

Upande mwingine kulitokea mapigano yaliodumu masaa kadhaa leo asubuhi katika eneo la Turkhato iliyo nje kidogo ya Uwanja wa Ndege wa mji wa Kismaayo,duru za kuaminika ilieleza kuwa shambulio hilo ilifanywa na Vikosi vya Mujahidina wa Al-Shabab waliosheheni silaha na Magari za Kivita.

Mapigano hayo yanakuja wakati ambapo Wanajeshi wavamizi wa Misalaba kutoka Kenya yalikuwa yakikusanya Wanamgambo katika mji wa Kismaayo kwa lengo la kuwafanya ngao kuwatanguliza vitani ili wasifikiwe na Mujahidina.
Mahad Yare


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items