15 wauawa kwenye mapigano makali yaliofanyika nje ya mji wa Bardaale mkoani Bay.

Sunday July 20, 2014 - 01:01:18 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1325
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    15 wauawa kwenye mapigano makali yaliofanyika nje ya mji wa Bardaale mkoani Bay.

    Habari kutoka mkoani Bay zinaeleza kuwa kumefanyika mapigano makali kwenye baadhi ya maeneo yaliopo mkoa huo kati ya Wanamgambo wa kisomali wanaosaidiana na Wanajeshi wa Ethiopia na Vikosi vya Kislaam.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka mkoani Bay zinaeleza kuwa kumefanyika mapigano makali kwenye baadhi ya maeneo yaliopo mkoa huo kati ya Wanamgambo wa kisomali wanaosaidiana na Wanajeshi wa Ethiopia na Vikosi vya Kislaam.Mapigano yaliodumu masaa kadhaa ilifanyika jana jioni katika kijiji kilicho chini ya Wilaya ya Bardaale mkoani Bay ambao eneo hilo kuna Wanajeshi wa misalaba kutoka Ethiopia.

Duru za kuaminika zinaeleza kuwa Baadhi ya Vikosi vya Mujahidina waliwavizia Barabra msafara wa Magari ya Wanajeshi wa Ethiopia kwenye kijiji cha Toosweyne ambayo iko chini ya Wilaya ya Bardaale na hapo kulitokea mapigano makali yaliofanyika hasara.
Wanamgambo zaidi ya 15 wameuawa kwenye makabiliano hayo na Gari mmoja kuteketezwa kama walivyoarifu wakaazi wa Kijiji cha Toosweyne Wilayani Bardaale.
Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na pande iliyowahusisha mapigano hayo lakini hayo ni sehemu ya misururu ya mashambulio yanayofanyika mwezi mtukufu wa Ramadhaan ambapo Harakat Al-Shabab Al Mujahideen iliahidi kuzidisha harakati yake.Mahad Yare


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items