UFAFANUZI:Mlipuko uliosababisha hasara katika mji wa Kismaayo.

Sunday July 20, 2014 - 01:03:01 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1194
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 1
  • Share via Social Media

    UFAFANUZI:Mlipuko uliosababisha hasara katika mji wa Kismaayo.

    Kuna taarifa zinazogongana kuhusiana na mlipuko mkubwa uliosababisha hasara jana jioni katika mji wa Kismaayo makao makuu ya Mkoa wa Lower Jubba kusini mwa Ardhi ya Somalia.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kuna taarifa zinazogongana kuhusiana na mlipuko mkubwa uliosababisha hasara jana jioni katika mji wa Kismaayo makao makuu ya Mkoa wa Lower Jubba kusini mwa Ardhi ya Somalia.Kwa uchache watu 6 wameuawa na mlipuko huo na wengine 8 wamejeruhiwa baada ya kutokea Mlipuko wa Ghafla kwenye Nyumba ya Iftin Hassan Baasto.

Vyanzo vya kuaminika vilithibitisha kuwa Silaya aina ya RPG waliokuwa nalo walinzi wa Iftin Hassan Baasto kwa bahati mbaya kulipuka ghafla lakini maofisa wa utawala wa Ahmed Madobe walitaja mlipuko huo ulikuwa wa mtu aliyejitoa muhanga.
Mashuhuda waliopo mji wa Kismaayo wanasema walisikia kishindo kikubwa cha mlipuko na baada ya muda mfupi kwenye eneo la tukio walifika wanamgambo kadhaa.
Iftin Hassa mwenye aliyezungumza na Idhaa ya BBC alisema yaliotokea kwenye nyumba yake ilikuwa ni shambulio la kupangwa kutoka kwa Mujahidina wa Al-Shabab.
Mazungumzo yanayoendelea mji wa Kismaayo ni mlipuko uliosababishwa na Silaha aina ya RPG iliyolipuka kwa bahati mbaya kwa Wanamgambo wa Iftin lakini inaonekana kuna makundi ya watu wakifanya tukio hilo ni la kisiasa zaidi ili kupata msaada kutoka kwa Wanajeshi wa Misalaba kutoka Kenya na wajionyeshe kuwa nao pia ni walengwa.
Liban Jehow Abdi


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items