Shambulio iliyosababisha hasara yafanyika ndani ya Ardhi ya Kenya.

Sunday July 20, 2014 - 01:05:14 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1601
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Shambulio iliyosababisha hasara yafanyika ndani ya Ardhi ya Kenya.

    Maofisa wa Usalama wa Kenya wametoa maelezo kuhusu mashambulio yaliofanywa na watu waliojihami na silaha katika maeneo yalio chini ya Kisiwa cha Lamu nchini Kenya.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Maofisa wa Usalama wa Kenya wametoa maelezo kuhusu mashambulio yaliofanywa na watu waliojihami na silaha katika maeneo yalio chini ya Kisiwa cha Lamu nchini Kenya.
Habari kutoka nchini Kenya zinaarifu kuwa mashambulio mengine mapya ambayo yaliosababisha hasara kubwa yamefanyika tena ndani ya nchi hiyo ambapo hali ya usalama katika miezi yaliopita yalikuwa tete.

Watu waliokuwa wamejihami na silaha waliuteka gari aina ya Basi na kuelekea nao katika maeneo ya msitu wa Pori uliopo kijiji cha Witu,Njenga Merry ambae ni mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Lamu ameliambia Gazeti la Daily Nation la Kenya kuwa watu 5 ambao ni Maaskari Polisi wameuawa kwenye shambulio hilo mapya iliyofanyika kwenye kijiji cha Witu.
"Watu waliokuwa na silaha waliuteka Gari aina ya Basi na kuelekea nao sehemu za Porini yalioko kijiji cha Witu na pale pale Polisi walianza kuwafuatilia na waliwaua watu 3 na wakiwemo Maskari Polisi wawili",alisema Njenga Merry.
Mwezi uliopita Kisiwa cha Lamu kulifanyika mashambulio yaliogharimu wakenya 100 na mashambulio hayo Al-Shabab ilikiri kuhusika ambayo inapigana na Wavamizi waliopo Ardhi ya Somalia.
Liban Jehow Abdi


SomaliMemo,Mugadishu


Related Items