Watu 5 wauawa kwenye shambulio iliyofanyika mji wa Las Vegas nchini Marekani.

Thursday June 12, 2014 - 00:49:36 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1961
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Watu 5 wauawa kwenye shambulio iliyofanyika mji wa Las Vegas nchini Marekani.

    Habari kutoka Magharibi mwa Marekani zinaeleza kuwa kulifanyika shambulio la kufyatua risasi katika mji ulio na saterehe na maasi mengi wa Las Vegas.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka Magharibi mwa Marekani zinaeleza kuwa kulifanyika shambulio la kufyatua risasi katika mji ulio na saterehe na maasi mengi wa Las Vegas. Habari kutoka Magharibi mwa Marekani zinaeleza kuwa kulifanyika shambulio la kufyatua risasi katika mji ulio na saterehe na maasi mengi wa Las Vegas.

 

 

Maofisa wa Polisi wanasema watu 5 wameuawa mjini Las Vegas baada ya watu wawili waliokuwa na silaha kushambulia Mgahawa mmoja uliopo mji huo.

"Mwanamke mmoja na mwanaume waliokuwa na Silaha waliingia kwenye Mgahawa na kumpiga Risasi Askari Polisi na Raia waliokuwemo kwenye Mgahawa na kisha wakajiua wenyewe",alisema kamishna wa Polisi mjini Las Vegas.


Walioshuhudia wanasema waliona kwenye Mgahawa huo Damu na nyama nyama ukiwa umetapakaa ndani ya Mgahawa unaojulikana Pizza ambapo upo Mashariki mwa mji wa Las Vegas nchini Marekani,Waziri mdogo wa Masuala ya Usalama nchini Marekani amelaani shambulio hilo na kuahidi kuwa watachukua hatua za kukabiliana na vitendo hivyo.

Maelfu wa Wananchi wa Marekani hufa kila mwaka kutokana na watu wanaojulikana Magang na wengine waliochoshwa na Maisha ya Anasa kufanya shambulio kwenye maeneo ya Shule,Vio Vikuu,na maeneo ya mapumziko.

Kiongozi wa Nchi hiyo Obama mwaka jana alipeleka mbele ya Baraza la Wazee la Marekani mapendekezo ya kuzuia Silaha inayosambaa kwa Wananchi wa Marekani.

Related Items