Mashambulio yaliofanyika dhidi ya vituo vya Wanajeshi wa Kigeni kwenye mikoa ya L/Jubba na Gedo.

Wednesday June 11, 2014 - 11:14:56 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1972
  • (Rating 4.0/5 Stars) Total Votes: 1
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Mashambulio yaliofanyika dhidi ya vituo vya Wanajeshi wa Kigeni kwenye mikoa ya L/Jubba na Gedo.

    Habari kutoka Mikoa ya Kusini Magharibi wa Ardhi ya Somalia zinaeleza kuwa yamefanyika mashambulio makubwa dhidi ya Vituo vya Wanajeshi wa kigeni yaliopo Baadhi ya vijiji viliopo Mikoani humo.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka Mikoa ya Kusini Magharibi wa Ardhi ya Somalia zinaeleza kuwa yamefanyika mashambulio makubwa dhidi ya Vituo vya Wanajeshi wa kigeni yaliopo Baadhi ya vijiji viliopo Mikoani humo.
Habari kutoka katika Kisiwa kidogo cha Madawa mkoani Lower Jubba zinaarifu kuwa Mujahidina walishambulio kisiwa hicho ambayo wanamgambo wa Ahmed Madobe wana vituo vya Kijeshi.

Hata hivyo Kituo cha Wanajeshi wa Kenya iliyopo kwenye kijiji cha Qooqani iliyo chini ya Wilaya ya Afmadow pia ulishambuliwa na Mujahidina wa Harakat Al-Shabab Al Mujahideen.

Upande mwingine kumeripotiwa mapigano makali usiku wa kuamkia juzi kwenye mji wa Buurdubo mkoani Gedo,milio ya silaha nzito na risasi za rashasha walizokuwa wakirushiana washambuliaji zilisikika nje ya mji huo.

Mapiagno hayo yalikuja baada ya vikosi vya Harakat Al-Shabab Al Mujahideen kufanya mashambulio kwenye mji huo ambayo mwezi Machi Wanajeshi wa Ethiopia waliingia na kuanza kufanya ufisadi.

Related Items