TIZAMA PICHA:Huzuni na Furaha yatanda kufunguliwa kwa mji wa Muusil nchini Iraq!.

Thursday June 12, 2014 - 23:14:56 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 3899
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 3 1
  • Share via Social Media

    TIZAMA PICHA:Huzuni na Furaha yatanda kufunguliwa kwa mji wa Muusil nchini Iraq!.

    Kile kinachojulikana Umoja wa Mataifa umeilaani kuchukuliwa kwa Mkoa wa Neynawa na miji mengine mikubwa nchini Iraq na Vikosi vya Mujahidina wa ISIS.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Kile kinachojulikana Umoja wa Mataifa umeilaani kuchukuliwa kwa Mkoa wa Neynawa na miji mengine mikubwa nchini Iraq na Vikosi vya Mujahidina wa ISIS.
Mataifa ya Marekani,Umoja wa Ulaya,na U.N kwa pamoja wameilaani kujisabaza kwa Mujahidina nchini Iraq na kutaja kuwa ni kitengo cha Kigaidi kisichokubaliwa na Sheria za Kimataifa!!.

Msemaji wa Wizara ya masuala ya nje wa Serikali ya Marekani amesema Marekani itatoa majibu yake dhidi ya kuchukuliwa kwa mji wa Muusil na Mujahidina wa Islamic State of Iraq and Shaam.


"Marekani inalaani vikali kwa hatua ya Magaidi kuudhibiti mji wa Muusil na itaisaidia Serikali ya Nuri Al Maliki na hatutoweza kuingilia kijeshi masuala ya ndani ya Iraq",alisema msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Marekani.

Upande mwingine kumefanyika Sherehe kwenye miji mbalimbali nchini Syria wakisherkea ushindi wa Mujahidina wa kuifungua Mji wa Muusil nchini Iraq.

Mji wa Raqqa nchini Syria maelfu ya wananchi wamejitokeza barabarani wakionyesha furaha yao na uungwaji mkono kwa Mujahidina wa Dola ya Kislaam ya Iraq na Shaam.

Watu waliojawa na nyuso za furaha walikuwa wakipeana Haluwa na mavishata tamu tamu ambapo walikuwa wakiyapima namna walivyofurahi kufunguliwa kwa mji wa Muusil.

Related Items