Shambulio iliyosababisha hasara dhidi ya AMISOM waliopo mji wa Qoryooley.

Friday August 08, 2014 - 19:54:50 in WARBIXINNO/QORALLO XUL AH by Super Admin
  • Visits: 1319
  • (Rating 0.0/5 Stars) Total Votes: 0
  • 0 0
  • Share via Social Media

    Shambulio iliyosababisha hasara dhidi ya AMISOM waliopo mji wa Qoryooley.

    Habari kutoka Mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa kumefanyika shambulio iliyosababisha hasara dhidi ya Vituo vya Wanajeshi wa Kiafrika wa AMISOM.

    Share on Twitter Share on facebook Share on Digg Share on Stumbleupon Share on Delicious Share on Google Plus

Habari kutoka Mkoa wa Lower Shabelle zinaeleza kuwa kumefanyika shambulio iliyosababisha hasara dhidi ya Vituo vya Wanajeshi wa Kiafrika wa AMISOM.
Shambulio hilo iliyofanyika jana usiku ilitokea katika kijiji cha Denoow iliyo nje kidogo na mji wa Qoryooley na kusababisha vifo na Majeruhi dhidi Wavamizi wa Misalaba wa AMISOM nchini Somalia.Wakaazi walisema walisikia milio ya silaha nzito na yale ya rashasha ambazo walikuwa wakirushiana na Silaha ambazo Mujahidina walikuwa wakitumia dhidi ya Wanajeshi wa AMISOM zilikuwa nzito.Mapigano hayo ni sehemu ya mashambulio yaliokuwa yakifanyika miezi yaliopita dhidi ya Wanajeshi wa Kigeni walioko Mji wa Qoryooley na itakumbukwa mji huo iko kwenye Mzingiro wa Al-Shabab.

Related Items